VIDEO MPYA:Tazama Nandy Alivyojiachia Kwenye ‘Hazipo’
Zao la THT mwanadada Nandy ameileta video ya wimbo wa hazipo unaopatikana kwenye album yake ya ‘The African Princess Album’ iliyotoka mwaka jana.
Wimbo huu umeandikwa na msanii Jay Melody na kufanywa na producer Ringtone Beats toka Epic Records.
Video imeongozwa na Kevin Bosco toka Kenya.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.