The House of Favourite Newspapers
gunners X

Video: Msanii Khadija Ziota Atuma Ujumbe Mzito Kwa Wanaume

0

Msanii wa Bongo Fleva, Khadija Ziota (Madam Ziota) amesema biashara ya wakina dada kuuza miili yao imeongezeka kwa kasi kubwa kutokana na wakina dada waliowengi hawataki kufanya kazi Jambo ambalo linawafanya kujiingiza kwenye biashara hiyo huku akiwataka wanaume kuacha kununu wanawake ili kukomesha Biashara hiyo!

Leave A Reply