The House of Favourite Newspapers

Video: Mshuhudie binti wa Mwanza aliyeishangaza dunia

0

Ni Getrude Clement mwenye umri wa miaka 16 kutoka jijini Mwanza, aishangaza dunia kwa hotuba yake nzuri aliyotoa mbele ya vigogo wa dunia kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) huko Paris nchini Ufaransa. Msikilize hapa chini;

Leave A Reply