The House of Favourite Newspapers

Video: Musukuma Awajibu Wanaosema Kahongwa Gari -“Namiliki Ndege, Nyumba Na Magari Ya Kifahari”

0

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, amefungukia madai ya kudaiwa kuhongwa gari ili atetee mradi wa uwekezaji wa Kampuni ya DP World kwenye Bandari ya Dar es Salaam.

Msukuma amesema tangu anagombea udiwani, alikuwa akimiliki Range Rover ‘Vogue’ na kuongeza kwamba amekuwa akimiliki magari ya kifahari kwa kipindi kirefu nyuma, ikiwa ni pamoja na kumiliki ndege.

Leave A Reply