The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Mwakinyo Ampiga Muangola Kwa KO Na Kutwaa Taji La WBC

0

BONDIA Mtanzania Hassan Mwakinyo Mei 29, 2021 ametwaa taji la WBC Afrika uzito wa Super Welter baada ya kumpiga kwa Knockout (KO) raundi ya tisa Muangola Antonio Mayala kwenye ukumbi wa Next Door Arena, Masaki Jijini Dar es Salaam.

Mtanzania mwingine, Ibrahim Mgendera ‘Ibra Class’ amemshinda kwa pointi Sibusiso Zingange wa Afrika Kusini katika pambano lisilo la ubingwa uzito wa Super Feather raundi nane.

 

Lakini haukuwa usiku nzuri kwa Mtanzania mwingine, Shaaban Jongo maarufu kama Jongo Jongo aliyepigwa kwa KO raundi ya pili na Mnigeria, Olanrewaju Durodora katika pambano la kuwania taji a WBC Afrika uzito Cruiser.

Leave A Reply