The House of Favourite Newspapers

Video: Mwalimu Mkuu Akamatwa Kwa Kumchapa Mwanafunzi Akimlazimisha Asome ‘Physics’

0
Mwanafunzi akiwa amelala katika hospitali Kiteme baada ya kuchapwa viboko na mwalimu.

MKUU wa Shule ya Sekondari Kiteme Wilayani Mleba ameingia katika uchunguzi kutokana na tuhuma
za kumlazimisha mwanafunzi kusoma somo la somo la Phisikia.

Leave A Reply