VIDEO: MWANAMKE AIBA MTOTO, AKAMATWA, ASEMA ‘NATAMANI MTOTO’


MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, Mkazi wa Urambo mkoani Tabora,  amenaswa kwa wizi wa mtoto mchanga.

Akizungumza kwa majonzi mama wa mtoto, Salome Sindigu,  alisema tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita nyumbani kwake kata ya Miguwa, kitongoji ncha Ngong’ho wilayani Nzega, Mkoani Tabora ambapo mwanamke huyo aliyeiba mtoto alipoulizwa sababu ya kufanya kitendo hicho alisema: “Natamani mtoto”.

Kwa habari zaidi ingia video hapo juu.


Loading...

Toa comment