Video: Mzee Abdul Alipuka – “Mama Dangote, Diamond Wanadharau Kisa Pesa”
Mzee Abdul Juma ambaye wengi wanamjua kama baba mzazi wa Diamond, si baba Mzazi wa Diamond kwani wakati wanaingia kwenye mahusiano, tayari mama huyo alikuwa na ujauzito wa mwanamuziki huyo, basi mzee Abdul naye amejibu mapigo.