VIDEO: Povu la Mbunge MSUKUMA, Baada Ya MAKAMBA Kutumbuliwa

MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, leo Jumapili, Julai 21, 2019 ameongea na Global TV Online kwa njia ya simu amesema yeye akiwa ni mbunge amepokea kwa furaha uteuzi mpya pia amepongeza kwa kutenguliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba na ameomba Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwafukuza wanaosaliti Chama.

Pia amesema ni vizuri kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM kutambua ni bora kuwa una adui nje ya chama, kuliko kuwa na adui ndani ya chama.


Loading...

Toa comment