The House of Favourite Newspapers

Video: Prof Jay Amwangukia Magufuli, “Tuko Chini Ya Miguu Yako

0

Katika ziara ya Rais Magufuli mkoani mrorogoro yakuweka jiwe la msingi wa Mahandaki ya Reli Mbunge wa Jimbo la Mikumi Joseph Haule kupitia CHADEMA Amemwomba Rais Magufuli kuwatatulia kero mbalimbali za Ardhi zinazowakabili katika jimbo lao.

Leave A Reply