Q Chief Afunguka Kusainiwa Wcb – Video

Somo la Kuanguka na kunyanyuka tena ndilo alilosoma mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Q Chief, ambaye baada ya kuanguka akajifuta vumbi na kunyanyuka tena kwa kishindo kwa kuachia EP Yake yenye ngoma tatu ambazo zote amemshirikisha Harmonize kutoka WCB


Loading...

Toa comment