VIDEO | Quavo – HOW BOUT THAT?

Rapa Quavo anayeliunda kundi la Migos,ameileta video ya wimbo wake wa, ‘How Bout That’ unaopatikana katika album yake ya Quavo Huncho.

 

Video imeongozwa na Kid Studio pamoja na Quavo mwenyewe.

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

Toa comment