Video: Rais Magufuli Aipandisha Hadhi Halmashauri ya Kahama
Rais John Magufuli leo Januari 28, 2021 ameipandisha hadhi Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga kuwa Manispaa, baada ya kuridhishwa na maendeleo yake ikiwamo ukusanyaji mapato.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

