Video: Rais Samia Afungua Mkutano Wa Kitaifa Wa Haki, Amani Na Maridhiano Tanzania – Dodoma -Video
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Kitaifa wa haki, Amani na Maridiano Tanzania leo tarehe 05 Aprili, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx