VIDEO: RAYVANNY Avunja REKODI Tabora Wasafi Festival 2019


MSANII wa muziki wa Bongo Fleva kutoka kundi la Wasafi Classic (WCB) anayefahamika kwa jina la Rayvanny amefanya shoo ya aina yake usiku wa kuamkia leo Julai 22, 2019,  kwenye jukwaa la Wasafi Festival 2019 mkoani Tabora katika Uwanja wa Ali Hasan Mwinyi usiku wa kuamkia leo.


Loading...

Toa comment