Video: Rc Makonda, Afunguka Samatta Kucheza Aston Villa

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo Januari 21, 2020, amemwasa mcheza soka wa Tanzania aliyesajiliwa majuzi  kuchezea timu inayocheza Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) ya Aston Villa, Mbwana Samatta, kuitumia fursa hiyo ili kujipatia mafanikio ya jasho lake badala ya kuhangaika na mambo yasiyo na tija.


Toa comment