Video: RC MAKONDA Amwambia MAGUFULI – ‘MKAPA Alinipa NAULI’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Feburuari 17, 2020 amesema TASAF ya Awamu iliyopita imewanufaisha sana wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo jumla ya mitaa 304 kati ya mitaa 564 imenufaika na fedha zitolewazo katika mpango huo

Toa comment