The House of Favourite Newspapers

Video: Rc. Makonda ‘Anusa Viashiria’ Silaha Za Kibaiolojia Tanzania

0


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewataka wachimbaji wa madini nchini kushirikiana na Rais Magufuli katika vita ya uchumi na kuwapuuza watu wasoitakia mema nchi yetu kwa kutumia demokrasia kama kisingizio cha kutaka kuleta machafuko.

 

“Mnaweza mkashangaa mnavuta hewa humu kwenye ukumbi…hewa imechangavywa na sumu…ninaombeni tulilinde taifa…na kila anayepata taarifa husika ‘a-shere’ na vyombo husika kwa ajili ya mustakabali wa taifa” – RC. Makonda

 

“Ukiniambia nitafute kiongozi kijana…ambaye mimi ‘ninamu-admire’…mtu asiye na makuu, mpole, msikivu…nitakwambia ni Dotto Biteko, Waziri wa Madini, Dotto Biteko.” – Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Leave A Reply