VIDEO: RC MWANRI Alivyo KANYAGA Mbele ya DIAMOND Ukumbini!


MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri leo amejikuta akiwavunja watu mbavu baada ya kumuita mwanamuziki Diamond Platinumz, mbele ya ukumbi na kuanza kucheza wimbo wa Kanyaga.

Diamond Platinumz na wasanii wengine wapo mkoani Tabora kwa ajili ya Tamasha la Wasafi Festival 2019 linalotarajiwa kufanyika Leo Julai 21, katika viwanja vya All Hassan Mwinyi.


Loading...

Toa comment