VIDEO Safi Madiba Ft Harmonize – Ina Million (Official Video)

Safi Madiba toka Rwanda ameshirikiana na msanii Toka WCB, ‘Harmonize’ kwenye video ya wimbo wake mpya, ‘Ina Million’.

 

Video imeongozwa na Rwandese,kwa upande wa audio imefanywa na Producer Made Beat.

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

Toa comment