VIDEO: Sakata la Madawa ya Kulevya Sheikh Mkuu wa Dar Amuunga Mokono Makonda
IKIWA ni mwendelezo wa kupambana na matumizi ya madawa ya kulevya hapa nchini, hatimaye viongozi wa dini wajitokeza kumuunga mkono RC Makonda ili kuongeza nguvu katika kupambana na janga hili ambalo limekuwa tishio kwa afya za watumiaji na hata kwa jamii nzima kwa ujumla.
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum amezungumza haya.
Comments are closed.