The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Shaka Atoa Ufafanuzi wa Kuhusu Uteuzi wa Jokate UVCCM

0

KUFUATIA Uteuzi  wa Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, ambapo taarifa zilizosambaa mitandaoni zinaeleza kuwa kunaonekana kutaka kuivuruga jumuiya hiyo.

Kaimu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Bwn. Shaka Hamdu Shaka amesema, uteuzi wa Jokate na wenzake umezingatia kanuni na sheria za chama hicho.

Leave A Reply