The House of Favourite Newspapers
gunners X

Simba Warudi Dar Kinyonge, Mashabiki Watambiana Wakiwapokea (Picha+Video)

0

Kikosi cha Simba leo Januari 14, 2021 kimewasili salama jijini Dar es Salaam kikitokea Zanzibar baada ya kukosa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kufungwa na  watani wao, Yanga kwa penalti 4-3, katika fainali ya Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.

 

Leave A Reply