Kartra

Video: Simba Watangaza Tuzo Za Mchezaji Bora Wa Mwezi

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Sunday Manara, ametangaza ujio wa Tuzo za Mchezaji bora wa Mwezi ambapo zinatarajiwa kutolewa. Tuzo hizo zinalenga kuwapa mashabiki nafasi ya kuchagua mchezaji wanaoona ni bora ndani ya mweizI husika.

“Tupo hapa mbele yenu kutangaza kuhusu Tuzo za Mashabiki za Simba ambazo tunazindua kwa kushirikiana na kampuni ya Emirate Aluminium.”- Haji Manara.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx


Toa comment