VIDEO: SPIKA NDUGAI, Wabunge WAFUNGUKA Baada Ya Taifa Stars KUCHEZEA KICHAPO…


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job ndugai na baadhi ya wabunge walioshiriki kwenda kuipa sapoti timu ya Taifa Stars huko nchini Misri wamezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kufungwa kwa timu hiyo.


Loading...

Toa comment