Video: Steven Nyerere Afunguka Mazito Awamwagia Sifa Yanga -“Sijaona Kama Hersi”
Msanii maarufu wa filamu nchini na mchekeshaji, Steve Mengere maarufu Steve Nyerere, amezungumzia juu ya suala la Mwenezi Paul Makonda kuahidi Ng’ombe kwa kila goli litakalopatikana kwenye dabi ya Yanga dhidi ya Simba.
Pia amegusia utendaji Kazi wa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said na amemtabiria kuja kuwa Rais wa TFF .