Video: Suma Mnazaleti Ft Barakah the Prince – Ndele - Global Publishers


Imewekwa na on December 6th, 2016 , 09:43:00am

Video: Suma Mnazaleti Ft Barakah the Prince – Ndele

Msanii wa Kitambo kwenye Game ya Bongo Fleva, Suma Mnazaleti baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, ameamua kuja na ngoma mpya, wimbo uitwao “Ndele”, Amemshirikisha Barakah the Prince.

 Suma Mnazaleti ft Barakah the Prince Ndele (official video)

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana