The House of Favourite Newspapers

Video: Tazama filamu fupi ya maisha ya Victor Wanyama

0

https://youtu.be/d9gBEnOkE7Q

STAA wa Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars pamoja na Timu ya Southampton, Victor Wanyama ameteka ‘headlines’ katika Ulaya baada ya kutoka kwa filamu fupi inayoonesha safari ya maisha yake.

Katika filamu hiyo iliyopewa jina la The Lion Of Muthurwa inamuonesha Wanyama (24), akiitwa kwa mara ya kwanza kwenye timu ya taifa (Harambee Stars) kipindi akiwa na miaka 15 kisha anafanikiwa kwenda kucheza soka la kulipwa Ubelgiji na baada ya hapo Scotland na mwisho anafanikiwa kutinga Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA).

 

Imeandaliwa na Andrew Carlos/GPL

 

Leave A Reply