VIDEO: TAZAMA Sholo Mwamba, Msagasumu Walivyokinukisha IDDI EL FITRI DAR LIVE

Mashabiki wa burudani haswa wapenzi wa muziki wa singeli usiku wa kuamkia leo katika kusherehekea  Siku Kuu ya Idd El Fitri walipata bonge la burudani kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar live katika onesho maalum la usikuwa uswazi ambalo lilikuwa noma saaana aisee.

FULL SHOW : MSAGA SUMU ALIVYOWASHA MOTO DAR LIVE

Loading...

Toa comment