VIDEO: UAMUZI wa YANGA Kuhusu AJIB – “Akitaka Aende Popote Tu”

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela,  leo Juni 20, 2019,  akiongea na wanahabari makao makuu ya klabu hiyo,  ametoa kauli kuhusu mchezaji Ibrahimu Ajib, kwamba klabu hiyo inamtakia kila la heri popote anapotaka kwenda.

 

“Mkataba wake unamalizika mwisho wa mwezi huu, mazungumzo yamefanyika na klabu imempa nafasi ya kuamua kama anapenda kubaki nafasi ipo, lakini kama anataka kuondoka klabu inamtakia kila la kheri, ”  alisema Mwakalebela akizungumza na vyombo vya habari.

 


Loading...

Toa comment