The House of Favourite Newspapers

Video: Ufafanuzi Wa Mbunge Musukuma Juu Ya Mkataba Wa Uuzwaji Wa Bandari Dar…

0

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, amefungukia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu mkataba mpya wa usimamizi wa Bandari ya Dar es Salaam ambapo Serikali ipo katika mazungumzo na Kampuni ya DP World, ambapo pia na yeye anatuhumiwa kupewa hongo kutetea mkataba huo.

Leave A Reply