VIDEO: Wachezaji Simba Watoa Msaada Hospitali Ocean Road


WACHEZAJI wa Klabu ya Simba leo wametoa msaada katika Hospitali ya Ocean Road kwa wagonjwa wa kansa katika kuelekea Wiki ya Simba ambayo inatarajiwa kufanyika Agosti 6 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Misaada hiyo ni pamoja na maji, juisi, unga, dawa ya miswaki, miswaki na kadhalika.


Loading...

Toa comment