Video: Wiki Moja Baada ya Ndoa, Masele Chapombe Amtongoza Upya Mkewe

IKIWA ni takribani wiki moja tu baada ya msanii maarufu wa vichekesho hapa nchini, Cyprian Masele ‘Masele Chapombe’ kufunga ndoa na¬† mkewe kipenzi, jana aliamua kumtongoza upya mke wake huyo wakati walipofika kwenye Studio za Global TV Online, kwa ajili ya interview.

Wiki Moja Baada ya Ndoa, Masele Chapombe Amtongoza Upya Mke Wake


Toa comment