VIDEO: WIMBO MAALUM wa Kumuenzi DK.MENGI – NURUELY

Msanii Nuruely Mbowe Kutoka Tanzania akiwa na BAND yake ya THE RAFIQ CLASSIC BAND wameandaa wimbo Maalumu kwajili ya Kumuaga na kumuenzi Marehemu Dkt Reginald Mengi Mkurugenzi wa IPP MEDIA Wimbo umefanyika katika Studio za ENZOLI zilizopo Manzese na Picha jongevu “video ” imefanywa na Muandaaji JOHNSON MARTIN (JXBRAND)


Loading...

Toa comment