The House of Favourite Newspapers

Video ya Mpya ya Ben Pol Iliyosababisha Apige za Utupu

0

Wiki kadhaa zilizopita picha za mwanamuziki Ben Pol zilizua utata kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonyesha sehemu kubwa ya mwili wake akiwa utupu.

Mwenyewe alisema kuwa zilikuwa kwa ajili ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Darassa japo wengi baada ya kuusikiliza walisema hauna uhusiano na picha hizo za utupu.

Mwanamuziki huyo ameachia video ya wimbo jana. Unaweza kuitazama hapa chini;

Ben Pol ft Darassa – Tatu (Official Music Video )

Leave A Reply