The House of Favourite Newspapers
gunners X

Video ya Namite Yakwama

0

 

VIDEO ya wimbo wa mwana-muziki mdogo wa Bongo Fleva, Namite Salvagge anayeishi nchini Italia imekwama kutokana na sababu za kiufundi.

 

Namite ameiambia OVER ZE WEEKEND kuwa, tatizo hilo la kiufundi linashughulikiwa na video yake hiyo itatoka hivi karibuni, hivyo mashabiki wake wamsikilizie.

 

“Ni tatizo dogo sana la kiufundi, ila nafikiri wakati wowote video itatoka na watu watapata nafasi ya kuitazama kwenye YouTube,” amesema Namite ambaye alishaachia nyimbo kama Mazingira, Utalii na Tanzania.

Leave A Reply