Video ya wema , Lulu diva yazua utata

VIDEO iliyosambaa kwenye Mtandao wa kijamii wa Instagram ya msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu na mwanamuziki, Lulu Abbasi ‘Lulu Diva’ imezua utata wa aina yake.  Utata huo ulikuja kutokana na warembo hao kuonekana wakibusiana na kuwa karibu sana kitu ambacho mashabiki wengi walitafsiri kuwa huenda kuna mchezo mchafu wanafanya na kumtahadharisha Wema kuwa makini na marafiki.

“Sasa hivi yuko na Danzak (mpenzi wa Wema wa sasa) lazima marafiki watakuwa wengi sana. “Hahaaa! Ushetani waufanye wengine aibu nione mimi, aaasubutu! Nikomeee”, zilisomeka baadhi ya komenti kwenye video hiyo.

Toa comment