Video: Yanga Vs Simba – Shangwe La Mashabiki Kutoka Dsm Hadi Zanzibar

ARDHI ya Zanzibar leo Januari 13, itatetema kwa kishindo cha mtanange wa Watani wa Jadi (Simba Sc vs Yanga Sc), mchezo unaotarajiwa kupigwa majira ya usiku huku ikiwa ni fainali ya kombe la mapinduzi baada ya timu zote kutinga katika hatua hiyo bila kupoteza mchezo wowote.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx


Toa comment