Video: Yanga Wafunguka Shabiki Wao Aliyetoka Kigoma


UONGOZI wa klabu ya Yanga, leo Mei 12, 2021 wamezungumza na wanahabari kuhusiana na shabiki wao aliyetoka Kigoma kwa mguu hadi Dar kwa ajili ya kuja kushuhudia Derby ya Kariakoo iliyotakiwa kuchezwa Mei 08, 2021 lakini ikahairishwa.

 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx


Toa comment