The House of Favourite Newspapers

Video: Yanga Yashukuru Mashabiki Kujitokeza Uwanja wa Mkapa

0

KLABU ya Yanga ASC leo Septemba 1, 2020 imewashukuru mashabiki wake kwa kujitokeza kwenye Tamasha la Wiki ya Mwananchi siku ya Agosti 30.  Sambamba na hayo imewameomba radhi mashabiki ambao hawakupata nafasi ya kuingia uwanjani kutokana na Uwanja wa Mkapa kujaa na kuahidi kuwa kwenye tamasha lijalo watafanya juhudi za kupata viwanja viwili.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply