VIDEO | Young Thug Ft Lil Baby – Chanel

Rapa Young Thug anakukaribisha kuitazama video ya wimbo wake mpya,’Chanel’ aliyomshirikisha Gunna pamoja na Lil Baby.

 

Wimbo wa chanel unapatikana kwenye album ya Slime Language iliyotoka August mwaka huu.

 

Video imeongozwa na Elliott Sellers & Sam Shea.

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

Toa comment