The House of Favourite Newspapers

Video: Ziara ya Rais Ramaphosa wa Sauz Mjini Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa yupo nchini kwa siku 2 kabla ya kuanza Mkutano wa SADC kwa mwaliko wa mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli

Comments are closed.