VIDEO ZILIZOMTAMBULISHA SAM WA UKWELI ENZI ZA UHAI WAKE
MSANII wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki usiku wa Jumatano katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu na mwili wake umehifadhiwa katika Hospital ya Mwananyamala.
Comments are closed.