VIDEOMPYA: Darassa Arusha Jiwe Gizani Kwenye ‘Relax’

 

Video mpya ya msanii DarassaRelax‘ inasemekana ni jiwe lililotupwa gizani kwenda kwa wapinzani wake kwenye game ya muziki.

 

Video imeongozwa na Hascana toka Hascana Brand, Audio imetengenezwa na Abbah Process.

 

TAZAMA VIDEO HAPA

 
Toa comment