VIDEOMPYA: Dogo Janja Atoa Story Inayomhusu Demu Wake ‘Yente’

 

Dogo Janja ameileta video inayoongelea stori yake na demu wake kwenye mahusiano yao.

 

YENTE ni story inayohusu Demu wangu alikuwa anaaombiwa na watu kuwa mwana ni miyeyusho, mwana hanakitu na mshikaji hukuzimii kabisa. Lakini nikamwambia Demu kuwa usiwasikilize hao wanakudanganya mbona mambo ni “YENTE” tu“ameandika Dogo Janja

 

Video imeongozwa na Msafiri Toka Kwetu Studio, audio imefanywa na Daxo Chali

 

TAZAMA VIDEO HAPA


Loading...

Toa comment