VIDEOMPYA: Hamisa Mobetto Adhihirisha Mapenzi Ya Kweli ‘My Love’

 

Msanii wa kike Hamisa Mobetto ameileta video ya wimbo wake mpya My Love, ambapo humo ndani amemwaga sifa pamoja na kudhihirisha penzi la kweli alilonalo kwa mwanaume wake.

 

My Love video imefanyiwa ndani ya Zanzibar na kuongozwa na Hascana toka Hanscana Brand.

 

TAZAMA VIDEO HAPA

 


Loading...

Toa comment