VIDEOMPYA: Harmonize, Yemi Alade ‘Show Me What You Got’

 

Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize ameileta video mpya ‘Show Me What You Got‘ akiwa na mwanadada toka Nigeria ‘Yemi Alade

 

Show me what you got inapatikana kwenye EP ya Harmonize ‘Afro Bongo’ iliyotoka February mwaka huu.

 

Video imeongozwa na Mr C toka Cardoso Imagery.

 

TAZAMA VIDEO HAPA


Loading...

Toa comment