VIDEOMPYA: Nandy Azimika Kwa Willy Paul ‘Hallelujah’

 

Nandy ameamua kuzama kabisa kwa msanii toka Kenya ‘Willy Paul‘ kwenye swala la biashara baada ya wimbo wao wa njiwa kufanya vizuri mara ya kwanza.

 

Muda huu wameileta video yao ya Hallelujah iliyofanyika Kenya na kutengenezwa na Trued Pictures. Audio imetengenezwa na Saldido, Kimambo na kumaliziwa na Lizer Classic toka Wasafi records.

 

TAZAMA VIDEO HAPA   
Toa comment