VIDEOMPYA: Never Give Up Yaeleza Maisha Halisi Ya Harmonize

 

Wimbo mpya wa msanii toka WCB Harmonize, ‘Never Give Up‘ umeelezea maisha yake toka ameanza safari yake ya muziki mpaka hapo alipofikia kwa wakati huu.

 

Video imeongozwa na Kenny toka Zoom Video Production, imetengenezewa maeneo ya Mtwara pamoja na Dar es Salaam.

 

DOWNLOAD AUDIO|MP3

 

TAZAMA VIDEO HAPA


Loading...

Toa comment