VIDEOMPYA: Perfect, Mimi Mars Mahaba Kama Yote Ndani Ya ‘Mua’

 

Mdogo wa Vanessa Mdee, ‘Mimi Mars‘ amvuta mtangazaji wa Clouds Fm, Perfect Crispin kwenye video ya wimbo wake wa Mua.

 

Wimbo wa Mua unapatikana katika Ep ya Mimi Mars, ‘The Road’ iliyotoka mwaka 2018. Video imeongozwa na Lucca Swahili.

 

TAZAMA VIDEO HAPA


Loading...

Toa comment